Kanuni za Imani ya Kiislamu; Utume/1
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu amewaumba wanadamu na kuwapa akili ili wajifunze njia ya uongofu. Swali ni je, ikiwa kuna akili, kwa nini watu wanahitaji manabii kwa ajili ya mwongozo?
Habari ID: 3476106 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18
Kanuni za Imani ya Kiislamu; Ufufuo /1
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya maswali ni ya ulimwengu wote na yapo katika akili ya kila mwanadamu. Mmoja kati ya maswali hayo ni kuhusu hatima yetu. Nini matokeo ya maisha na nini itakuwa hatima yetu? Hili limezungumziwa ndani ya Qur'ani katika fremu ya itikadi ya Ma’ad (Ufufuo).
Habari ID: 3476098 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/16
Kanuni za Imani ya Kiislamu; Tauhidi (Imani ya Mungu Mmoja) /1
TEHRAN (IQNA) – Fitra (maumbile asili) inahusu mwelekeo wowote ulio ndani ya wanadamu wote bila ya kuelimishwa juu yake na kuwaongoza watu kwenye dini. Dhana hii imerejelewa ndani ya Quran kupitia maneno tofauti.
Habari ID: 3476090 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15